Gavana Mandago aendelea kushikilia msimamo wake
Published on: September 28, 2016 11:17 (EAT)
Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago amezidi kushikilia msimamo wake kuhusu uteuzi wa naibu chansela wa chuo kikuu cha Moi licha ya kuandikisha taarifa na CID kutokana na matamshi hayo. Mandago amemlaumu waziri wa elimu Fred Matiangí kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment