Gavana wa Turkana Josphat Nanok achaguliwa Mwenyekiti

Gavana wa Turkana Josphat Nanok ndiye mwenyekiti mpya wa baraza la magavana, anayechukua hatamu baada ya Peter Munya wa Meru ambaye muhula wake wa miaka miwili umekamilika hii leo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories