Gharama Ya Juu Ya Maisha Kuathiri Sherehe

Je msimu wa sherehe za Krismasi umekuwa wa gharama zaidi kwa Wakenya? Hayo ndio matokeo ya utafiti wa kura ya maoni yaliyoendeshwa na kampuni ya Synovate yanayoonyesha kwamba asilimia 56 ya Wakenya watatumia fedha zaidi kuliko mwaka ulio pita. Kando na hayo, tofauti na mwaka 2013 ambapo asilimia 40 ya Wakenya walifunga safari, mwaka huu ni asilimia 16 tu wanaopanga kufunga safari…

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories