Ghasia zakumba uchaguzi wa viongozi wa Jubilee

Chaguzi za viongozi wa muda wa chama cha Jubilee mashinani zinadidi kuibua mtafaruku, huku wapinzani wakizomeana na hata kwingine kulimana makonde. Zogo kuu likiwa ni madai ya kuingiliwa kwa zoezi hilo, huku wabunge na waakilishi wa kaunti wakimenyana na wagombeaji mbali mbali wanaozimezea mate nyadhifa zao. Suala kuu likiwa ni jaribio la kudhibiti zoezi la chaguzi za mchujo mwakani.

Tags:

JUBILEE Ghasia uchaguzi wa Jubilee

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories