Ghasia zashuhudiwa kwenye uchaguzi mdogo, Kisii
Published on: October 26, 2016 09:57 (EAT)
Kulikuwa na sarakasi katika uchaguzi mdogo wa wadi ya Nyacheka katika kaunti ya Kisii pale mbunge wa Kitutu Chache Kusini Richard Onyonka alipofurushwa na baadhi ya wafuasi wa muwaniaji kiti cha mwakilishi wa wadi kudai kwamba alikuwa akiwahonga wapiga kura.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment