Harusi ya kitamaduni ya Wamaasai

Kadri muda unavyoendelea kusonga, ndivyo mila na desturi za Wafrika zinavyoendelea kudidimia. Lakini jamii ya wamaasai ni moja kati ya jamii chache ambazo bado zimeshikilia utamaduni wao. Mwandishi wetu Martin Munene alihudhuria harusi ya kimaasai na kutuandalia taarifa ifuatayo

Tags:

maasai cluture

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories