Hatimaye Sonko apata cheti cha polisi
Published on: March 17, 2017 08:42 (EAT)
Hatimaye seneta wa Nairobi Mike Sonko amewasilisha stakabadhi za kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha ugavana kaunti ya Nairobi kwa tiketi ya Jubilee, licha ya kukumbwa na hali ya ati ati hapo jana. Sonko alipata cheti cha nidhamu jana usiku, baada ya uongozi wa juu wa Jubilee kuingilia kati, huku ikidaiwa maafisa wenye ushawishi serikalini walikuwa na njama ya kumfungia nje ya uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment