Hekaheka za kisiasa

Chama cha jubilee kimetetea uamuzi wake wa kuiomba tume ya uchaguzi nchini-iebc kusimamia chaguzi zake za mchujo.

Naibu wa Rais William Ruto amesisitiza tume ya iebc ina jukumu la kikatiba kusimamia teuzi za chama, ili ziwe huru na haki.

Hata hivyo, muungano wa upinzani umeitahadharisha iebc dhidi ya kutumia fedha za umma kusimamia teuzi za chama kimoja cha kisiasa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories