Hilda Waithira ako wapi?

Mama mmoja katika kijiji cha Gitwamba huko Limuru ameghubikwa na wingu la majonzi kwa muda wa miezi sita sasa huku msako wa bintiye aliyetoweka ukigonga mwamba hadi hii leo.

Mapema mwaka jana wakati wa muhula wa pili, Rahab Wanjiku Shehe alipata ujumbe mfupi kutoka shuleni anakosoma bintiye ikimtaka amrudishe shuleni. Msichana huyo wa kidato cha tatu alikuwa amefukuzwa shule kwa utovu wa nidhamu japo mamake haukupashwa habari zozote.

Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Nelson Ogallo, Hilda waithira bado hajulikani aliko mapaka hivi sasa.

Tags:

Hilda waithira ucekeini girls secondary school

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories