Hilda Waithira apatikana mtaani Mukuru kwa Njenga
Published on: January 07, 2017 08:08 (EAT)
Msichana ambaye alikuwa amepotea kwa kipindi cha miezi sita alipatikana akifanya kazi ya nyumbani katika eneo la Mukuru kwa Njenga hapa jijini Nairobi.
Hilda Waithera alipotea baada ya kufukuzwa shuleni kisha kutafuta makazi kwa rafiki yake ambaye familia yake ilisisitiza aende nyumbani kwao.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment