Hoja ya kumtimua gavana Mutua yajadiliwa

Kulikuwa na sarakasi katika bunge la kaunti ya Machakos wakati wa kujadili hoja ya kutokuwa na imani na gavana wa Machakos alfred mutua,pale jamaa mmoja aliposhikwa na wawakilishi hao akipiga picha na video za wale waliokuwa wakishinikiza hoja hiyo ndani ya bunge la kaunti hiyo. Aidha gavana Mutua hakuwepo bungeni wakati wa kizaazaa hicho.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories