Hospitali ya Kenyatta yakana kuwatelekeza akina mama wajawazito

Hospitali ya Kenyatta imepuuzilia mbali uchunguzi wa Citizen uliobaini kuwa wadi ya akina mama kujifungua imetelekezwa huku ikiwa na uchafu na akina mama wakilazimika kulala zaidi ya mmoja kwenye kitanda kimoja.
Mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo Lilly Koros anakiri kwamba kuna idadi kubwa sasa ya akina mama wanaojifungulia kwenye hospitali hiyo sababu ya mgomo wa wauguzi wa hospitali za kaunti. Hata hivyo amekana kwamba usimamizi wa hospitali ni wa kutiliwa shaka.

Tags:

Kenyatta National Hospital Lilly Koros

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories