Huru Hatimaye!

Shughuli za kawaida katika mji wa Narok na viunga vyake zilitatizwa mchana kutwa pale   waandamanaji waliojawa na ghadhabu walipokuwa wakishinikiza kuachiliwa huru kwa viongozi watano kutoka Kaunti hiyo akiwemo Seneta Stephen Ole Ntutu. Viongozi hao wanahusishwa na madai ya kuchochea umma kuzua ghasia katika maandamano yaliyofanyika mapema wiki hii.
Polisi walikuwa na kibarua kigumu kukabiliana na waandamanaji hao waliowasha moto na kufunga barabara.
Mwanahabari wetu Sam Gituku amekuwa katika eneo hilo na sasa anatuarifu zaidi kuhusiana na yaliyojiri…

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories