Ibada ya wafu kwa Biwott yafanyika Nairobi
Published on: July 18, 2017 08:56 (EAT)
Audio By Vocalize
Ibada ya wafu ya aliyekuwa waziri mwenye ushawishi mkubwa Nicholas Biwott ilifanyika hii leo katika kanisa la AIC Milimani. Marehemu Biwott atazikwa nyumbani kwake kijiji cha Tot kata ya Chebior kaunti ya Elgeyo Markwet siku ya Alhamisi.


Leave a Comment