IEBC inachelea kusimamia chaguzi za mchujo

Tume ya uchaguzi nchini-iebc iko kwenye njia panda, kuhusiana na chaguzi za mchujo za vyama vya kisiasa kabla ya chaguzi mkuu wa mwezi agosti. Ingawa chama cha jubilee kinasisitiza teuzi zake zisimamiwe na iebc, tume ya uchaguzi haionekani kulichangamkia suala hili, huku tetesi zikiibuka kuhusu ufadhili wa chaguzi za mchujo na iwapo tume ina muda wa kutosha kusimamia zoezi hili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories