IEBC yakataa kuongeza muda zaidi wa mchujo

Tume ya uchaguzi  na mipaka IEBC imedinda kuongeza muda wa kuendesha kura za mchujo kwa vyama vya kisiasa humu nchini. Mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati amesma kuwa vyama vyote vitatakiwa kukamilisha shughuli hii kwa muda ulioratibiwa ambao ni jumatano  wiki hii. Denis Otieno atuarifu zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories