IEBC yaongeza muda wa usajili kwa siku mbili

Mahakama kuu imeiamuru tume ya uchaguzi iebc kuongeza muda wa usajili wa wapiga kura kwa siku mbili badala ya kutamatisha shughuli hiyo leo. Hatua hiyo inafuatia matukio ya foleni ndefu katika vituo vya usajili wa wapiga kura huku baadhi ya wateja wakidai hawakujua shughuli hiyo inaandaliwa wapi, hali inayotoa taswira ya wakenya wasiobabaishwa na lolote hadi siku ya wmisho.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories