IEBC yaonyesha jinsi matokeo yatakavyotolewa

Tume ya uchaguzi IEBC imefaulu katika majaribio ya mfumo wa kielektroniki wa kuwasilisha matokeo ya uchaguzi kutoka kaunti 47 kote nchini:
Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati ameeleza imani kuwa mfumo huo utafaulu siku ya uchaguzi huku kampuni tatu za mawasiliano zikihusishwa kwenye kazi hiyo kwa kutoa huduma ya mitandao.

Tags:

IEBC teknolojia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories