IEBC yaridhika na uamuzi wa mahakama ya rufaa kuhusu kura za urais

Tume ya uchaguzi nchini-IEBC haitapinga uamuzi wa mahakama ya rufaa, kuwa matokeo ya urais yatakayotangazwa katika maeneo bunge ni ya mwisho na hayawezi kubadilishwa.

Tags:

IEBC kura za urais mahakama ya rufaa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories