IEBC yatoa sheria za uteuzi

 

Huenda baadhi ya wawaniaji wa viti mbalimbali kwenye uchaguzi wa mwaka huu wakakosa kuwania viti vyao. Hii ni baada ya tume ya mipaka na uchaguzi, iebc, kuchapisha kanuni zinazofaa kufuatwa na kila mwanaiji katika uchaguzi mkuu wa agosti mwaka huu. Denis otieno ana maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories