Ilani Ya Mgomo Wa Walimu Yaahirishwa

Muungano wa walimu nchini KNUT umeahirisha ilani ya mgomo iliyokuwa itolewe leo, hadi wafanye mkutano na tume ya kuwaajiri walimu- TSC- hapo kesho. KNUT ilinuiwa kutoa ilani ya mgomo,wa kuitaka serikali iwapandishe vyeo walimu  zaidi ya 53,000 wanaostahili kupandishwa daraja.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories