Inadaiwa mti ulikauka baada ya kulaaniwa

Miaka miwili tangu maafisa wa usalama 21 pamoja na
raia wengine watatu wauawe katika eneo la Kasarani huko Kapedo, eneo hilo sasa limebadilika na kuwa kame. Wazee wa jamii ya Waturkana walifanya tambiko la kulaani kitendo hicho chini ya mti ambao sasa umekauka. Chini ya mti huo, ndipo maafisa wengi waliuawa, na kulingana na wazee hao, kukauka kwa mti huo na nyasi za maeneo yaliyo karibu ni onyo kwa wahalifu.

Tags:

baringo Kapedo Turakana usalama

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories