JAA BAHARINI | Bahari yasakamwa na taka eneo la Lamu

Wadau wanahofia kuwa ifikapo mwaka 2050 huenda kukawa na plastiki zaidi baharini kuliko samaki, huenda utafiti huu ni kweli. Wakazi wanaoishi visiwani Lamu wanaitumia bahari kama jaa lao wakidai kuwa hawana mahali pengine pa kuzitupa. Taka hizo sasa zinaathiri samaki na kuhatarisha afya yao. Karibu katika sehemu ya kwanza ya makala maalumu, jaa baharini yaliyoandaliwa na mwanahabari saida swaleh.

Tags:

lamu Jaa baharini takataka

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories