Jaguar mashakani

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko sasa anataka uchunguzi kuhusiana na ajali iliyohusisha gari la mwanamuziki Charles Kanyi almaarufu Jaguar kuharakishwa. Hii inafuatia maswali  kuhusiana na ni nani haswa aliyekuwa dereva wa gari hilo aina ya Range Rover wakati wa kutokea kwa ajali hiyo.

Tags:

Jaguar ajali Charles Kanyi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories