Jaji Mkuu Maraga akemea ufisadi
Published on: December 15, 2016 09:30 (EAT)
Jaji mkuu David Maraga amesema kuwa mahakama itachapisha sheria mpya itakayotoa mwongozo wa jinsi kesi dhidi ya ufisadi itakavyoshughulikiwa. Maraga amesema kuanzia sasa korti maalum itasikiza kesi zinazohusiana na ufisadi ili kuhakikisha kuwa kesi hizo zimekamilika kwa muda unaofaa.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment