Jamaa aliyehusika katika ubomoaji wa nyumba westlands mashakani

Mwanabiashara anayeshukiwa kuongoza ubomozi wa boma moja la wakazi wakongwe katika mtaa wa westalnds hapa nairobi amewachiliwa na mahakam moja hapa Nairobi kwa dhamana ya shilingi laki tatu pesa taslimu.

Francis Nyaga wa kampuni ya Franc Logistics anadaiwa kubomoa boma hiyo akidai kuwa alikuwa amekabidhiwa umiliki wake miezi kadhaa iliopita. Sam gituku na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories