Jamaa anaswa akiiba katika duka la M-pesa Kirinyaga

Jamaa mmoja anayewania kiti cha muakilshi bunge kaunti ya kirinyaga amefikishwa mbele ya mahakama baada ya kuonekana kupitia picha za cctv akiiba fedha zinazodaiwa kuwa shilingi milioni mbili kutoka kwa duka moja la mpesa.aidha phillip kinyua alikana madai hayo mbele ya hakimu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories