Jamaa na marafiki wamuomboleza Nkaissery kwa majonzi

Mbali na maisha yake akiwa waziri wa mausala ya usalama, Joseph Nkaissery alikuwa mtu aliyependa kushirikiana na watu na kutekeleza miradi mbali mbali ya kijamii. Amefariki siku ambayo alitarajiwa kuwa mgeni wa heshima kwenye hafla ya kuchangisha pesa kuwasaidia watoto mayatima na wasioijiweza  kijijini ngatataek kaunti ya kajiado.

Tags:

Nkaissery condolences

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories