Jamii inapanga kusafari Nairobi kukutana na Rais

Kitambulisho ndicho kinachokutambulisha kuwa raia wa taifa Fulani. Kwa jamii ya Wamakonde waliokfika nchini karne iliyopita kutoka Msumbiji wangali kutambuliwa kuwa raia wa Kenya hali inayowanyima nafasi za ajira. Joakim Gaitano alikosa nafasi ya kucheza soko ya kulipwa ulaya kwa sababu ya kukosa kitambulisho. Jamii hiyo sasa inapanga kuzuru ikulu kukutana na rais.

Tags:

wamakonde

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories