Jamii za Wapokot na Wamarakwet kuzakubaliana kuishi kwa amani

Kwa zaidi ya miezi tisa iliyopita jamii za marakwet na pokot zimekuwa zikizozana kutokana na ukosefu wa rasili mali na kusababisha watu kumi na wanane kufariki dunia. Hata hivyo kwa mara ya kwanza baada ya mkutano wa amani jamii hizo mbili zimekutana na kuweka kando tofauti zao. Mwanahabri saida swaleh amerudi kutoka eneo la kolowa kaunti ya pokot na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories