Japhter Rugut amtaja Mutahi Ngunyi
Published on: October 06, 2016 09:35 (EAT)
Mchanganuzi wa masuala ya kisiasa Mutahi ngunyi alilipwa shilingi milioni tisini na idara ya huduma kwa vijana wa taifa NYS baada ya kupewa zabuni ya kuishauri idara hiyo. Hayo yamesemwa leo na aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa NYS Japhter Rugut wakati akihojiwa na kamati ya bunge inayoshughulikia masuala ya fedha za umma. Simon kigamba anataarifu zaidi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment