Je, wataka kusafiri kwa ndege bila malipo?

Mtazamaji kuanzia siku ya jumapili wasafiri watapata fursa ya kutumia usafiri wa ndege aina ya helikopta  kupitia ushirikiano wa Corporate Helicopters na Uber Kenya ,na ili uweze kujua ni jinsi gani unaweza kuepuka misongamano ya mjjini Mombasa na Nairobi,nampisha Lulu Hassan akueleze jinsi ya kuwa miongoni mwa washind

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories