Joto la Chicken-Gate

Aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa tume huru ya uchaguzi na mipaka James Oswago  pamoja na Trevy Oyombra na Hamida Ali Kibwana wamefikishwa mahakamani kuhusiana na madai ya kuhusika katika sakata ya “chicken gate “Oswago aliachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki sita  baada ya kukana mashtaka ya kuhusika na sakata hiyo .

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories