Jubilee waendelea na kampeni eneo la kati

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake Ruto hii leo wameelekeza kampeni za chama cha Jubilee katika kaunti ya Meru na kuwataka wenyeji kujitokeza kwa wingi kumpigia kura siku ya uchaguzi. Rais aidha amesisitiza kuwa wafuasi wake sharti wawapigie kura wawaniaji viti mbalimbali kwa chama cha Jubilee wala sii wanaowania kama wagombesa huru.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE meru kiraitu murungi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories