Jubilee wasusia mwaliko wa IEBC kuhusu kandarasi ya kura
Published on: July 11, 2017 08:49 (EAT)
Mirengo mikuu ya kisiasa nchini, ule wa Jubilee na NASA, hapo jana ilitoa kauli tofauti kuhusiana na suala zima la kandarasi ya uchapishaji wa karatasi za upigaji kura za urais. Mrengo wa Jubilee ulisema kwamba jukumu la kuamua ni nani wa kupewa kandarasi hiyo liachiwe tume ya IEBC huku NASA ikisisitiza kwamba uamuzi wa mahakama usalie kuwa hivo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment