Jubilee yafanya kampeni Garissa, Isiolo

Rais Uhuru Kenyatta amekashifu upinzani NASA akidai kuwa wamekuwa wakieneza propaganda na kukashifu maendeleo ya serikali. Rais amesema kuwa  viongozi wa NASA hawana rekodi au sera ya maendeleo ambayo wametekeleza licha ya kuhudumu katika serikali za hapo awali. Rais Kenyatta aliyasema haya alikuwa kwenye  kampeni za Jubilee katika kaunti za garisaa na Isiolo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories