Jubilee yapeleka kampeni zake Machakos

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto leo wameendelea kunadi sera za Jubilee na kusaka kura za muhula mpya uongozini, huku wakiirai jamii ya ukambani kuikubali ngoma ya uhuruto tano tena. Rais na naibu wake wamesema lao ni kusambaza maendeleo kote nchini, pasina kujali tofauti za kijamii au kidini, na kudai wapinzani wao walipoteza miaka mingi wakiwa serikalini bila kuwafaidi wananchi wa kawaida.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE william ruto machakos

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories