Kamaru atumbuiza mashabiki wa Inooro

Mashabiki wa Inooro Fm pamoja na wale wa mwanamuziki wa nyimbo za kikuyu Joseph Kamaru jana usiku walijumuika katika hafla ya kusherehekea miaka 60 tangu mwanamuziki huyo kujitosa katika nyanja za uimbaji.

Tags:

joseph kamaru

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories