Kamati teule ya bunge yawasilisha bungeni, yapendekeza kurekebishwa kwa sheria za uchaguzi

Kamati teule ya bunge inapendekeza kupiga msasa sheria za uchaguzi na kurahisisha kosa la uhongaji wa wapiga kura, huku kinyang’anyiro cha mwaka ujao kikizidi kujongea. Kamati hiyo inapendekeza kuondolewa kwa kosa la kuwapa wapiga kura vyakula au kuwasafirisha, huku jukumu la kuchunguza makosa ya uchaguzi likipendekezwa kutekelezwa na kiongozi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories