Kampuni zinazohusishwa na sakata ya wizara ya afya

Wahusika wakuu kwenye sakata ya shilingi bilioni tano ya wizara ya afya wanahusishwa na Rais Kenyatta. Dadake Rais Kenyatta, Nyokabi Muthama na Kathleen Kihanya ambaye ni binamuye wanahusishwa na kampuni ya Sundales ambayo ilipokea shilingi milioni 41 katika sakata hiyo. Haya ni huku msajili wa makampuni akifichua majina ya wanaomiliki kampuni tatu zinazohusishwa na sakata hiyo.

Tags:

sakata ya wizara ya afya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories