Kanisa la AIPCA Kirinyaga lapoteza makasisi 3 katika ajali ya barabarani

Familia za maaskofu watatu wa kanisa la AIPCA walioaga dunia kwenye ajali ya barabarani hapo jana eneo la Mwea zinaendelea kuomboleza vifo hivyo huku Kanisa likitoa wito kwa madereva kuwa waangalifu barabarani.

Tags:

AIPCA Three AIPCA Bishops

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories