Karatasi za kupigia kura zafika katika maeneo bunge
Published on: August 04, 2017 08:24 (EAT)
Mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati anasema mafunzo ya wasimamizi wa uchaguzi wa juma lijalo yamekamilika huku karatasi za kupigia kura zikitarajiwa kusambazwa kwa vituo vya kupigia kura siku ya Jumatatu baada ya kuwasili kaitka maeneo bunge kote nchini.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment