Katibu Mkuu wa zamani wa TNA ahamia ODM

Aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha TNA Onyango oloo amekihama chama cha Jubilee na kujiunga na ODM. Akihutubu mjini Kisumu, oloo alisema kuwa hatua aliyochukua ndiyo bora zaidi ya kumwezesha kukuza taaluma yake ya kisiasa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories