Kauli ya Raila kuhusu maji yazidi kuibua hisia
Published on: October 11, 2016 08:41 (EAT)
Serikali memsuta kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa matamshi yake ya jana kwamba mradi wa maji unaogharimu Benki ta Dunia Kima cha shilingi bilioni 6.8, unatekelezwa kwa usiri kwa sababu ya uwezekeno wake kuwa na athari mbaya kimazingira.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment