Kaunti Ya Kwale Yadai Kampuni Ushuru Wa Shilingi 370M

Kampuni ya uchimbaji  madini ya Base Titanium kaunti ya Kwale inazongwa na mzozo mkali baina yake na  serikali ya kaunti hiyo kwa kukataa kulipa ushuru wa zaidi ya shilingi  milioni 370 wa uchimbaji madini hayo.Viongozi wa kaunti hiyo wakitishia kusitisha shughuli zake za uchimbaji.Mwanahabari wetu wa kwale Nicky Gitonga na habari hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories