Kaunti ya Meru yatoa ardhi kwa mahakama

Serikali ya kaunti ya Meru imeipiga jeki idara ya mahakama nchini baada ya kutoa kipande cha shamba kwa minajili ya ujenzi wa mahakama ya rufaa.
Akizungumza katika hafla ya kukabidhi shamba hilo kwa idara hiyo, Gavana Peter Munya amesema kuwa hatua hiyo itawasaidia siyo tu wakaazi wa Meru bali pia wakenya kwa ujumla. Jaji Mkuu David Maraga ameipongeza serikali ya kaunti ya Meru kwani korti hiyo itasaidia pakubwa katika kuwapa wakenya haki kwa muda ufaao.

Tags:

Peter Munya meru david maraga mahakama ya rufaa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories