Kaunti zatishia kuwafuta madaktari kuanzia Juamatatu
Published on: March 11, 2017 08:32 (EAT)
Huku mahakama ya rufaa ikisubiriwa kutoa mwelekeo kuhusiana na mgomo wa madaktari, chama cha madaktari cha Tanzania kimeelezea ugumu wa madaktari wa nchi hiyo kuandikwa kazi nchini Kenya kujaza pengo litakaloachwa na madaktari wa humu nchini wakipigwa kalamu. Rais wa muungano wa madaktari nchini humo anasema kuwa nchi hiyo ina uhaba mkubwa wa madaktari. Habari hizo zinaonesha kuwa uwezekano wa kutafuta madaktari kutoka nchi za nje ni sawa na moshi wa kupita.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment