Kazi ni kazi

Huenda umewapita kwa dharau mijini na usielewe changamoto zao. Mtazamaji sio wengine bali ni mahalamali wanaokusaidia kubeba mizigo yako hususan ukiwa sokoni au hata kwenye maduka ya bidhaa reja reja amabo kama anavyotueleza mwanahabari Saida Swaleh aliyekutana na baadhi katika eneo la Eldoret wameweza kuwekeza kila shilingi wanayopata kwenye kazi hiyo na kujiendeleza.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories