KEMRI yasema ugonjwa wa Marburg haujaingia nchini

Wizara ya afya katika kaunti ya Trans Nzoia imewataka wakazi wa eneo hilo kutokuwa na wasiwasi kuhusiana na virusi vya Marburg ikisema kuwa chembechembe za mgonjwa aliyeshukiwa kuwa na maradhi hayo zinaonyesha kuwa hana virusi hivyo. Hii ni katika hali ambayo taasisi ya utafiti wa tiba, KEMRI pia imesema hakuna virusi vya marburg nchini.

Tags:

KEMRI marburg

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories