Kenya kufanya safari za moja kwa moja hadi Marekani
Published on: June 07, 2017 09:08 (EAT)
Safari za ndege za moja kwa moja hadi nchini marekani zinapaniwa kuanza mwezi Aprili mwaka ujao. Waziri wa uchuguzi James Macharia amethibitisha kuwa hatua zote za usalama na uchukuzi wa angani zimeafikiwa na kilichosalia ni kibali cha uwanja wa JKIA kutumika kama hatua ya mwisho ya safari za kimataifa.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment